← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.2 Matamshi Bora: Sauti /chw/ na /shw/; /jw/ na /njw/
Kiswahili · Grade 11 · 5 lessons in the design
What this covers
- Kutambua maneno yenye sauti /chw/ na /shw/, /jw/ na /njw/
- Kutamka maneno yenye sauti hizo
- Kutamka na kutunga vitanzandimi
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Sauti /chw/ na /shw/
40 min · 1 practice tasks · quizKutambua na kutamka maneno yenye sauti /chw/ na /shw/.
-
Sauti /jw/ na /njw/
40 min · 1 practice tasks · quizKutambua na kutamka maneno yenye sauti /jw/ na /njw/.
-
Kutamka maneno yenye sauti lengwa
40 min · 1 practice tasks · quizKutamka maneno yenye sauti /chw/, /shw/, /jw/ na /njw/ katika sentensi.
-
Kutamka vitanzandimi
40 min · 1 practice tasks · quizKutamka vitanzandimi vyenye sauti /chw/, /shw/, /jw/ na /njw/ ipasavyo.
-
Kutunga vitanzandimi na kutathmini matamshi
40 min · 1 practice tasks · quizKutunga vitanzandimi na kutathmini matamshi ya wenzake kwa heshima na kujibu swali dadisi.