← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.5 Kusikiliza kwa Kupambanua
Kiswahili · Grade 11 · 5 lessons in the design
What this covers
- Vipengele vya kusikiliza kwa kupambanua
- Msamiati na toni
- Viziada lugha na kiwango cha sauti
- Kufasiri ujumbe na maana
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Vipengele vya kusikiliza kwa kupambanua
40 min · 1 practice tasks · quizKujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kupambanua ili kufasiri maana.
-
Msamiati na toni katika kupambanua
40 min · 1 practice tasks · quizKujadili mielekeo kuhusu ujumbe kutokana na msamiati na toni.
-
Viziada lugha na kiwango cha sauti
40 min · 1 practice tasks · quizKujadili mielekeo kuhusu ujumbe kutokana na viziada lugha na kiwango cha sauti.
-
Kufasiri ujumbe kwa kupambanua
40 min · 1 practice tasks · quizKufasiri ujumbe na maana katika matini aliyosikiliza na kujibu swali dadisi.
-
Kutumia kupambanua katika maisha ya kila siku
40 min · 1 practice tasks · quizKuchangamkia kushiriki katika usikilizaji wa kupambanua ili kukuza mahusiano mema.