← Kiswahili / 2 Kusoma

2.4 Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia

Kiswahili · Grade 11 · 5 lessons in the design

What this covers

  • Vipengele vya kusoma kwa mapana
  • Kuchagua matini
  • Msamiati na matumizi ya lugha
  • Muhtasari wa ujumbe
  • Kuandika kumbukumbu

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Vipengele vya kusoma kwa mapana
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kujadili vipengele mbalimbali vya kuzingatia katika kusoma kwa mapana.
  2. Kuchagua matini ya kujisomea
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kutambua na kuchagua matini ya kujichagulia kuhusu suala lengwa.
  3. Msamiati na matumizi ya lugha katika matini
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kusoma matini ya kujichagulia akizingatia msamiati na matumizi ya lugha.
  4. Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuandika muhtasari wa ujumbe wa matini aliyoisoma.
  5. Kuweka rekodi ya kusoma
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuweka rekodi ya kusoma kwa kuandika katika kijitabu au shajara na kujibu swali dadisi.