← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza

1.8 Kuzungumza Kupasha Habari

Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Maana na aina za uzungumzaji wa kupasha habari
  • Vipengele: utangulizi, ujumbe wazi, sauti, hitimisho

What you will be able to do

  • kutambua aina za uzungumzaji wa kupasha habari
  • kupasha habari kwa kutumia vipengele vifaavyo

Key questions

“Utatumia mikakati gani ili kuwapasha wanajamii habari?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Maana na aina za kupasha habari
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kupasha habari ni kutoa taarifa ili wengine wajue ukweli, si kubishana wala kusimulia ngano.
  2. Vipengele na kutoa taarifa
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Taarifa ina salamu, utangulizi, ujumbe wazi, ushauri na hitimisho; sauti inafaa hadhira.