← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza

1.10 Nyimbo: Nyimbo za Kazi na Nyimbo za Dini

Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Maana, mazingira na ujumbe wa nyimbo za kazi
  • Nyimbo za dini: mazingira, ujumbe, hisia na ishara

What you will be able to do

  • kueleza maana ya nyimbo za kazi na za dini
  • kuwasilisha wimbo kwa hisia na ishara zifaazo

Key questions

“Nyimbo za kazi na za dini huimbwa wapi na kwa nini?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Nyimbo za kazi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Nyimbo za kazi huimbwa wakati wa kufanya kazi ili kushirikiana, kupunguza uzito na kutoa ujumbe.
  2. Nyimbo za dini na kulinganisha
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Nyimbo za dini huimbwa ibadani kwa heshima; hisia na ishara si za uwanjani.