← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.11 Kuzungumza kwa Kuambatanisha na Vitendo/Ishara
Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana na umuhimu wa kuzungumza pamoja na vitendo au ishara
- Kuigiza maelekezo: njia, kazi za nyumbani, kutayarisha chakula
What you will be able to do
- kueleza maana na umuhimu wa kuambatanisha ishara
- kutoa mazungumzo yakiambatana na vitendo zifaazo
Key questions
“Kuna umuhimu gani wa kutumia vitendo unapozungumza?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Maana na umuhimu wa ishara
40 min · 1 practice tasks · quizKuzungumza kwa vitendo ni kuambatanisha maneno na ishara ili mwenzi aelewe haraka, hasa unapoelekeza.
-
Kuigiza maelekezo kwa vitendo
40 min · 1 practice tasks · quizMwanafunzi hutoa maelekezo ya kazi ya nyumbani au njia, akiambatanisha ishara kila hatua.