← Kiswahili / 2 Kusoma

2.13 Kusoma kwa Kina: Mbinu za Lugha

Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Maana ya mbinu za lugha: tashbihi, sitiari, nahau, methali, tanakali, tasfida
  • Kutambua mbinu katika novela na kueleza umuhimu wake

What you will be able to do

  • kueleza maana ya mbinu za lugha
  • kutambua na kueleza umuhimu wa mbinu katika novela

Key questions

“Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika fasihi?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Maana ya mbinu za lugha
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Mbinu za lugha ni njia za kuimarisha kisa: tashbihi, sitiari, nahau, methali, tanakali, tasfida.
  2. Kutambua mbinu katika kisa na umuhimu
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Piga mstari mbinu katika kisa; eleza umuhimu: taswira, ufupi, funzo la amani.