← Kiswahili / 2 Kusoma
2.15 Ufupisho
Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design
What this covers
- Ujumbe wa kila aya kwa sentensi moja
- Kufupisha aya zote kuwa aya moja kwa mtazamo wa matini
What you will be able to do
- kueleza ujumbe wa kila aya kwa sentensi moja
- kuandika ufupisho wa aya moja unaozingatia mtazamo wa matini
Key questions
“Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Ujumbe wa kila aya kwa sentensi moja
40 min · 1 practice tasks · quizSoma kila aya; andika sentensi moja kuu. Hiyo ndiyo hatua ya kwanza ya ufupisho kamili.
-
Ufupisho wa aya moja
40 min · 1 practice tasks · quizUnganisha sentensi kuu kuwa aya moja inayozingatia mpangilio na mtazamo wa matini.