← Kiswahili / 3 Kuandika

3.13 Insha za Kubuni: Maelezo

Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Mambo ya kimsingi katika kueleza mtu: sura na matendo
  • Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu

What you will be able to do

  • kutambua vigezo vya kueleza mtu
  • kuandika insha ya maelezo kuhusu mtu

Key questions

“Ni vigezo vipi vinatumika katika kuandika insha ya maelezo ya mtu?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Sura na matendo ya mtu
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Maelezo ya mtu yanachanganya sura (jinsi anavyoonekana) na matendo (jinsi anavyotenda), si neno mzuri peke yake.
  2. Kuandika maelezo ya mtu
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Insha ya aya tatu: sura, matendo ya amani, hisia za mwandishi — bila dhihaka.