← Kiswahili / 3 Kuandika

3.14 Insha ya Maelekezo

Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Aina na sifa za insha ya maelekezo: usahihi, mantiki, lugha sahili
  • Kuandaa hatua na kuandika maelekezo kuhusu matumizi ya pesa

What you will be able to do

  • kujadili sifa na aina za maelekezo
  • kuandika insha ya maelekezo yenye anwani na hatua

Key questions

“Ni sifa gani zinazofanya maelekezo yafuatwe bila kosa?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Aina na sifa za maelekezo
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Maelekezo mazuri ni sahihi, yana mantiki, lugha sahili na hutoka upande mmoja — hasa kuhusu pesa.
  2. Kuandika maelekezo ya pesa
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Mwanafunzi huandika insha yenye anwani na hatua 5 za kuhesabu chenji au kuweka akiba.