← Kiswahili / 3 Kuandika
3.15 Kuandika Kidijitali: Baruapepe
Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design
What this covers
- Ujumbe, lugha na muundo wa baruapepe kwa rafiki
- Kuandika baruapepe kwa kuzingatia anwani, somo na mwili
What you will be able to do
- kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe
- kuandika baruapepe kwa rafiki kwa lugha ifaayo
Key questions
“Baruapepe inatofautiana vipi na barua ya karatasi?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Muundo na lugha ya baruapepe
40 min · 1 practice tasks · quizBaruapepe ina Kwa, Somo, salamu, mwili na jina; lugha ni ya urafiki na maadili.
-
Kuandika baruapepe kwa rafiki
40 min · 1 practice tasks · quizMwanafunzi huandika baruapepe kamili yenye ujumbe wa urafiki, lugha safi na muundo ufaao.