← Kiswahili / 4 Sarufi
4.1 Aina za nomino: Nomino za Makundi na Nomino za Dhahania
Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design
What this covers
- Nomino za makundi: kundi, kikosi, kikundi
- Nomino za dhahania: usafi, heshima, woga — hazishikiki
What you will be able to do
- kutambua nomino za makundi na za dhahania
- kuzitumia katika sentensi
Key questions
“Ni nomino gani za makundi na za dhahania zinazopatikana shuleni na nyumbani?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Nomino za makundi
40 min · 1 practice tasks · quizNomino za makundi zinataja watu, wanyama au vitu vingi vilivyokusanyika kama kundi moja.
-
Nomino za dhahania
40 min · 1 practice tasks · quizNomino za dhahania hazishikiki: usafi, heshima, woga, furaha; tunaona matokeo yake.