← Kiswahili / 4 Sarufi
4.6 Vitenzi: Vitenzi Vikuu na Vitenzi Visaidizi
Kiswahili · Grade 7 · 2 lessons in the design
What this covers
- Vitenzi vikuu: soma, andika, linda — vina maana kamili
- Vitenzi visaidizi: kuwa, weza, ja, bidi, wahi, ngali
What you will be able to do
- kutambua vitenzi vikuu na visaidizi
- kutunga sentensi ukitumia visaidizi na kikuu
Key questions
“Tunatofautisha vitenzi vikuu na visaidizi kwa njia gani?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Vitenzi vikuu
40 min · 1 practice tasks · quizKitenzi kikuu kina maana ya tendo: soma, fagia, linda. Ni jibu la swali anafanya nini?
-
Vitenzi visaidizi
40 min · 1 practice tasks · quizVisaidizi (kuwa, weza, ja, bidi, wahi, ngali) vinaunga mkono kikuu; havina tendo kamili peke yake.