← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.6 Kusikiliza kwa Kufasiri
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya kusikiliza kwa kufasiri
- Msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza
- Kulinganisha misimamo na mielekeo ya matini na ile ya jamii kuhusu usalama barabarani
- Kutoa muhtasari wa habari iliyosikilizwa pamoja na msimamo wa msemaji
What you will be able to do
- kueleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri
- kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe wa matini ya kusikiliza
- kulinganisha misimamo na mielekeo ya ujumbe wa matini na ile ya jamii yake
Key questions
“Ni misimamo gani iliyopo katika matini ulizowahi kuzisikiliza?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Kusikiliza kwa kufasiri: msimamo na mielekeo
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya kusikiliza kwa kufasiri, na tambua msimamo na mielekeo ya msemaji katika tangazo la redio kuhusu usalama wa bodaboda.
-
Kulinganisha msimamo wa matini na wa jamii
40 min · 1 practice tasks · quizSikiliza matini kuhusu usafiri salama wa wanafunzi, linganisha msimamo wake na mitazamo ya jamii, na utoe muhtasari unaoonyesha msimamo wa msemaji.