← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.7 Kusikiliza kwa Kutathmini
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- Vipengele vya kutathmini: ujumbe, ushahidi, mtazamo wa msemaji, lugha na msamiati
- Kutathmini mazungumzo kuhusu asasi za kijamii (NTSA, NYS, Huduma Centre)
- Kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumiwa katika matini ya kusikiliza
What you will be able to do
- kueleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini
- kujadili vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza kwa kutathmini
- kutathmini ujumbe na mtazamo wa msemaji
- kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza
Key questions
“Unazingatia nini ili kupata ujumbe unaowasilishwa na mzungumzaji?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Kusikiliza kwa kutathmini: vipengele vyake
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya kusikiliza kwa kutathmini, jadili vipengele vyake (ujumbe, ushahidi, mtazamo, lugha) na utathmini mazungumzo ya afisa wa NYS.
-
Ukweli, dai na maoni; msamiati wa asasi
40 min · 1 practice tasks · quizTenga ukweli, madai na maoni katika matini ya kusikiliza kuhusu Huduma Centre, eleza maana ya msamiati kimuktadha, na toa maoni yenye sababu.