← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.10 Mazungumzo: Malumbano ya Utani
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo
- Sifa za malumbano ya utani: pande mbili, zamu, ucheshi, hadhira, mipaka ya heshima, urafiki
- Vipengele vya uwasilishaji: sauti, kiimbo, ishara, kutazama hadhira, zamu
- Kuwasilisha malumbano ya utani kama njia ya kupunguza msongo wa mawazo
What you will be able to do
- kueleza maana ya malumbano ya utani
- kujadili sifa za malumbano ya utani
- kutambua na kuzingatia vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani
Key questions
“Malumbano ya utani huzungumzia nini?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Malumbano ya utani: maana na sifa
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya malumbano ya utani kama kipera cha mazungumzo, jadili sifa zake, na ueleze jinsi kicheko cha heshima kinavyosaidia kukabiliana na msongo wa mawazo.
-
Kuwasilisha malumbano ya utani
40 min · 1 practice tasks · quizTambua vipengele vya uwasilishaji wa malumbano ya utani (zamu, sauti, kiimbo, ishara, hadhira) na uwasilishe malumbano yako kwa heshima.