← Kiswahili / 1 Kusikiliza na Kuzungumza
1.14 Mazungumzo: Mawaidha
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Vipengele vya lugha katika mawaidha: methali, nafsi ya pili, maswali ya balagha, takriri, mifano, lugha ya upole
- Umuhimu wa vipengele vya lugha katika mawaidha
- Ishara zifaazo katika kutoa mawaidha
- Kutoa mawaidha kuhusu matumizi ya kodi
What you will be able to do
- kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika mawaidha
- kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha na ishara zifaazo
- kutoa mawaidha kwa kuzingatia vipengele vya lugha na ishara zifaazo
Key questions
“Unazingatia nini unapotoa mawaidha?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Vipengele vya lugha katika mawaidha
40 min · 1 practice tasks · quizTambua na jadili umuhimu wa vipengele vya lugha (methali, nafsi ya pili, balagha, takriri, mifano, lugha ya upole) katika mawaidha ya Bi. Halima kuhusu kodi.
-
Ishara na kutoa mawaidha kuhusu kodi
40 min · 1 practice tasks · quizJadili ishara zifaazo katika kutoa mawaidha, kisha toa mawaidha kwa mwenzako kuhusu matumizi ya kodi na utunzaji wa mali ya umma ukitumia vipengele vya lugha.