← Kiswahili / 2 Kusoma
2.1 Kusoma kwa Ufahamu: Simulizi
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi kuhusu usafi wa mazingira
- Kupanga matukio yanavyofuatana katika simulizi
- Kutabiri na kufasiri habari kutokana na kifungu cha simulizi
- Maana ya msamiati kama ulivyotumiwa kimuktadha
What you will be able to do
- kudondoa habari mahususi katika kifungu cha simulizi
- kupanga matukio yanavyofuatana katika kifungu cha simulizi
- kufanya utabiri na ufasiri kutokana na kifungu cha simulizi
- kueleza maana ya msamiati kama ulivyotumiwa katika kifungu cha simulizi
Key questions
“Unafanya nini ili kupata habari zilizo katika kifungu cha simulizi kwa usahihi?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Simulizi: kudondoa habari na kupanga matukio
40 min · 1 practice tasks · quizSoma simulizi kuhusu usafi wa mtaa, dondoa habari mahususi na panga matukio yanavyofuatana kwa kutumia maneno ya mpangilio.
-
Simulizi: kutabiri, kufasiri na msamiati
40 min · 1 practice tasks · quizTabiri matukio kutokana na picha na kichwa, fasiri maana isiyosemwa waziwazi kwa ushahidi, na eleza maana ya msamiati kimuktadha.