← Kiswahili / 2 Kusoma

2.3 Kusoma kwa Kina: Ushairi

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Maana ya shairi na tofauti yake na tungo nyingine (hadithi, wimbo, insha)
  • Sifa za ushairi: ubeti, mshororo, kipande (ukwapi na utao), mizani, vina, kibwagizo, lugha teule, uhuru wa mshairi
  • Kueleza sifa za ushairi katika shairi kuhusu utunzaji wa wanyama

What you will be able to do

  • kueleza maana ya shairi ili kulitofautisha na tungo nyingine
  • kujadili sifa za ushairi kama utanzu wa fasihi andishi
  • kueleza sifa za ushairi katika shairi
  • kufurahia kuchambua ushairi kama utungo wa fasihi

Key questions

“Je, shairi ulilowahi kusoma lilikuwa linazungumzia nini?”

“Unavutiwa na nini unaposoma shairi?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Shairi ni nini? Sifa za ushairi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Eleza maana ya shairi, litofautishe na tungo nyingine, na utambue sifa zake: ubeti, mshororo, kipande, mizani, vina, kibwagizo na lugha teule.
  2. Kuchambua shairi: mizani, vina na ujumbe
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Hesabu mizani, tambua vina vya kati na vya mwisho, bainisha uhuru wa mshairi na ueleze ujumbe wa shairi "Tuwatunze Wanyama".