← Kiswahili / 2 Kusoma
2.4 Kusoma kwa Ufasaha
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Vipengele vya kusoma kwa ufasaha: matamshi bora, kasi ifaayo, kiwango cha sauti, ishara za mwili
- Kasi ifaayo: maneno sahihi yasiyopungua 110 kwa dakika
- Kusoma kifungu cha nathari kuhusu utunzaji wa maliasili kwa ufasaha
What you will be able to do
- kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusoma kwa ufasaha
- kusoma kifungu cha nathari akizingatia matamshi bora na kasi ifaayo
- kusoma kifungu akizingatia kiwango kifaacho cha sauti na ishara za mwili zifaazo
Key questions
“Je, unaposoma kifungu chochote unazingatia mambo gani?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Kusoma kwa ufasaha: matamshi, sauti na ishara
40 min · 1 practice tasks · quizTambua vipengele vya kusoma kwa ufasaha na usome kifungu cha nathari kuhusu msitu wa Kakamega kwa matamshi bora, sauti ifaayo na ishara za mwili zifaazo.
-
Kasi ifaayo: maneno 110 kwa dakika
40 min · 1 practice tasks · quizPima kasi ya kusoma kwa maneno sahihi kwa dakika, fanya mazoezi ya kufikia maneno 110 au zaidi, na usome kifungu mbele ya hadhira kwa ufasaha.