← Kiswahili / 2 Kusoma
2.6 Kusoma kwa Kina: Ushairi
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
- Kujadili maudhui na dhamira katika shairi kuhusu usalama barabarani
- Kuchambua shairi kwa kuzingatia maudhui na dhamira
What you will be able to do
- kueleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi
- kujadili maudhui na dhamira katika shairi
- kuchambua shairi kwa kuzingatia maudhui na dhamira
Key questions
“Je, mashairi uliyowahi kuyasoma yalizungumzia nini?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Ushairi: maudhui na dhamira
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya maudhui na dhamira katika fasihi, na uyatambue katika shairi "Barabara ni ya Wote" kuhusu usalama barabarani.
-
Kuchambua shairi kwa maudhui na dhamira
40 min · 1 practice tasks · quizFuata hatua tatu kutoka maudhui hadi dhamira, chambua shairi "Barabara ni ya Wote", na uchambue shairi jingine la diwani iliyoteuliwa.