← Kiswahili / 2 Kusoma
2.9 Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Kushawishi
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi kuhusu vifaa vya kidijitali katika biashara
- Lugha shawishi: swali la balagha, takwimu, mfano halisi, ahadi, mwito
- Maana ya maneno kama yalivyotumika katika kifungu; muhtasari wa kifungu
What you will be able to do
- kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
- kueleza maana za maneno kama yalivyotumiwa katika kifungu cha kushawishi
- kuchangamkia usomaji wa kifungu cha kushawishi
Key questions
“Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Kifungu cha kushawishi: kudondoa habari
40 min · 1 practice tasks · quizSoma kifungu "Mama Mboga, Ingia Mtandaoni!", dondoa habari mahususi, na tambua mbinu tano za lugha shawishi.
-
Kifungu cha kushawishi: msamiati, tahadhari na muhtasari
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya maneno kimuktadha, linganisha faida na tahadhari za biashara ya kidijitali, na andika muhtasari wa kifungu cha kushawishi.