← Kiswahili / 2 Kusoma
2.10 Kusoma kwa Kina: Ushairi
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya wahusika katika fasihi; nafsineni na nafsilengwa katika shairi
- Kutambua sifa za wahusika kutokana na maneno, matendo na maelezo ya nafsineni
- Kuchambua shairi kuhusu kukabiliana na msongo wa mawazo kwa kuzingatia wahusika
What you will be able to do
- kueleza maana ya wahusika katika fasihi
- kutambua wahusika katika shairi
- kujadili sifa za wahusika katika shairi
- kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
Key questions
“Ni wahusika gani uliokumbana nao katika mashairi uliyowahi kuyasoma?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Wahusika katika shairi: nafsineni na nafsilengwa
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya wahusika katika fasihi na utambue nafsineni, nafsilengwa na wahusika wasaidizi katika shairi "Tamaa Usiikate".
-
Sifa za wahusika katika shairi
40 min · 1 practice tasks · quizJadili na uchambue sifa za wahusika wa shairi "Tamaa Usiikate" kutokana na maneno, matendo na maelezo ya nafsineni, na uchambue wahusika wa shairi la diwani.