← Kiswahili / 3 Kuandika
3.1 Viakifishi: Koloni na Semi koloni
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Kutambua alama ya koloni (:) na semikoloni (;) katika matini
- Matumizi ya koloni: kuorodhesha, kueleza zaidi, saa, uwiano, tamthilia, kumbukumbu
- Matumizi ya semikoloni: kuunganisha sentensi zinazohusiana, kutenganisha orodha ndefu
- Kusahihisha kifungu kisichotumia koloni na semikoloni ipasavyo
What you will be able to do
- kutambua alama ya koloni na semikoloni katika matini
- kueleza matumizi ya koloni na semikoloni katika matini
- kutumia alama ya koloni na semikoloni ipasavyo katika matini
Key questions
“Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?”
“Je, alama ya semikoloni hutumiwa vipi katika maandishi?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Koloni ( : ): matumizi sita
40 min · 1 practice tasks · quizTambua na tumia koloni kuorodhesha, kueleza zaidi, kuandika saa na uwiano, katika tamthilia na kumbukumbu.
-
Semikoloni ( ; ): kuunganisha na kutenganisha
40 min · 1 practice tasks · quizTumia semikoloni kuunganisha sentensi mbili zinazohusiana na kutenganisha vipengele vya orodha ndefu; sahihisha kifungu kuhusu usafi.