← Kiswahili / 3 Kuandika
3.2 Insha za Kiuamilifu: Barua ya Kirafiki
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki
- Lugha inayofaa katika barua ya kirafiki: ya kirafiki, yenye adabu, isiyo ya mkato
- Muundo wa barua ya kirafiki: anwani ya mwandishi, tarehe, mtajo, salamu, kiini, hitimisho, jina
- Kujibu barua ya kirafiki kuhusu mazoezi ya viungo vya mwili
What you will be able to do
- kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki
- kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki
- kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki
- kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
Key questions
“Unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Barua ya kirafiki: muundo na lugha
40 min · 1 practice tasks · quizFafanua muundo wa barua ya kirafiki (anwani, tarehe, mtajo, salamu, kiini, hitimisho, jina) na lugha inayofaa katika kujibu barua ya rafiki.
-
Kujibu barua ya kirafiki kuhusu mazoezi
40 min · 1 practice tasks · quizSoma barua ya rafiki, tambua maswali na ujumbe wake, kisha andika jibu linalojibu kila swali kwa lugha na muundo ufaao.