← Kiswahili / 3 Kuandika

3.5 Insha za Kiuamilifu: Shajara

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Maana ya shajara na sababu za kuiandika
  • Vipengele vya shajara: tarehe na siku, saa, mtajo, matukio, hisia, mpango, jina
  • Mtindo wa shajara: nafsi ya kwanza, wakati uliopita, lugha ya kawaida, faragha
  • Kuandika shajara kuhusu tukio la mitazamo hasi ya kijinsia

What you will be able to do

  • kueleza maana ya shajara
  • kujadili vipengele vya shajara
  • kuandika shajara akizingatia vipengele vyake

Key questions

“Kwa nini watu hutumia shajara?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Shajara: maana na vipengele
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Eleza maana ya shajara, jadili vipengele vyake (tarehe, mtajo, matukio, hisia, mpango, jina) na mtindo wake, kwa kielelezo cha shajara ya Amani.
  2. Kuandika shajara ya siku tatu
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Jadili umuhimu wa shajara na mambo ya kuandika na kutoandika, kisha andika shajara ya siku tatu kuhusu tukio linalohusu usawa wa kijinsia.