← Kiswahili / 3 Kuandika

3.7 Insha za Kubuni: Maelezo

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo: maelezo ya kina, hisi, tamathali, maneno teule
  • Umuhimu wa lugha inayoathiri hisia
  • Majukumu ya insha ya maelezo: kushawishi, kuburudisha, kupasha habari, kufunza
  • Kuandika insha ya maelezo kuhusu huduma katika asasi ya kijamii

What you will be able to do

  • kutambua lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo
  • kujadili umuhimu wa lugha inayoathiri hisia
  • kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia katika kuandika insha ya maelezo

Key questions

“Je, ni nini kinafanya maelezo katika insha kudhihirika?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Insha ya maelezo: lugha inayoathiri hisia
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Tambua lugha inayoathiri hisia katika insha ya maelezo kuhusu ziara ya makao ya watoto, na ujadili umuhimu wake katika kujenga picha dhahiri.
  2. Kuandika insha ya maelezo kuhusu asasi ya kijamii
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Chagua jukumu la insha (kupasha habari, kuburudisha, kufunza au kushawishi) na uandike insha ya maelezo kuhusu asasi ya kijamii kwa lugha inayoathiri hisia.