← Kiswahili / 3 Kuandika
3.10 Barua ya Kuomba Kazi
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
- Vipengele vya kimuundo: anwani mbili, tarehe, mtajo, KUMB, kiini, hitimisho, sahihi na jina
- Ujumbe unaoafiki: nafasi, sifa na uzoefu, upatikanaji; lugha rasmi
- Kuandika barua rasmi ya kuomba kazi
What you will be able to do
- kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
- kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi
- kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia vipengele vyake
Key questions
“Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Barua rasmi ya kuomba kazi: maana na muundo
40 min · 1 practice tasks · quizEleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi na utambue vipengele vyake vya kimuundo: anwani mbili, tarehe, mtajo, KUMB, kiini, hitimisho, sahihi na jina.
-
Kuandika barua ya kuomba kazi
40 min · 1 practice tasks · quizTambua ujumbe unaoafiki barua ya kuomba kazi (nafasi, sifa, upatikanaji) na uandike barua kamili kwa lugha rasmi kujibu tangazo la kazi.