← Kiswahili / 3 Kuandika

3.11 Insha za Kubuni: Maelezo

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Mitazamo katika insha za maelezo: nafsi ya kwanza, nafsi ya tatu, mshuhudiaji
  • Mpangilio wa maelezo: mbali hadi karibu, juu hadi chini, wakati
  • Kuandika vidokezo na insha ya maelezo kuhusu haki za kibinadamu akizingatia mtazamo mahususi

What you will be able to do

  • kujadili mitazamo katika insha za maelezo
  • kuandika insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi
  • kufurahia kuandika insha za maelezo zinazoonyesha mitazamo mahususi

Key questions

“Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Mitazamo katika insha ya maelezo
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Jadili mitazamo ya kimaelezo (nafsi ya kwanza, nafsi ya tatu, mshuhudiaji) na mpangilio wa maelezo katika insha kuhusu mtoto anayenyimwa haki ya elimu.
  2. Mpangilio wa maelezo na kuandika insha
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Tumia mpangilio wa maelezo (mbali hadi karibu, juu hadi chini, wakati), andika vidokezo, na uandike insha ya maelezo kuhusu haki za kibinadamu kwa mtazamo mahususi.