← Kiswahili / 3 Kuandika

3.14 Insha za Kiuamilifu: Shajara

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Umuhimu wa shajara
  • Aina za shajara: ya kibinafsi, ya mipango, ya fedha, ya safari, ya kazi
  • Vipengele vya kila aina ya shajara
  • Kuandika aina mbili za shajara, ikiwemo shajara ya fedha inayohusiana na kodi

What you will be able to do

  • kujadili umuhimu wa shajara
  • kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
  • kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake

Key questions

“Unazingatia nini unapoandika shajara?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Aina za shajara na umuhimu wake
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Jadili umuhimu wa shajara na ueleze aina zake (ya kibinafsi, ya mipango, ya fedha, ya safari, ya kazi) pamoja na vipengele vya kila aina.
  2. Kuandika shajara ya fedha na ya mipango
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Andika shajara ya fedha ya wiki moja (mapato, matumizi, jumla, faida) na shajara ya mipango ya siku tatu, kisha uwasomee wenzako.