← Kiswahili / 3 Kuandika

3.15 Kujibu Baruapepe

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe: mpokeaji, nakala, mada (Re:), salamu, kiini, hitimisho, jina, kiambatisho
  • Lugha inayofaa katika kujibu baruapepe kulingana na mtumaji
  • Kanuni za usalama na uadilifu mtandaoni
  • Kujibu baruapepe kuhusu maadili ya kitaifa

What you will be able to do

  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
  • kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
  • kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo

Key questions

“Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?”

“Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Kujibu baruapepe: vipengele na lugha
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Jadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe (mpokeaji, nakala, mada, salamu, kiini, hitimisho, kiambatisho) na lugha inayofaa kulingana na mtumaji.
  2. Kuandika jibu la baruapepe kwa uadilifu na usalama
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Andika jibu kamili la baruapepe ya mwaliko wa Siku ya Maadili, ukijibu kila ombi kwa lugha ifaayo, na ujadili kanuni za usalama na uadilifu mtandaoni.