← Kiswahili / 4 Sarufi

4.1 Vihusishi: Vihusishi vya Mahali na Vihusishi vya Wakati

Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design

What this covers

  • Vihusishi vya mahali: juu ya, chini ya, ndani ya, nje ya, kando ya, kati ya, mbele ya, nyuma ya, karibu na, mbali na
  • Vihusishi vya wakati: kabla ya, baada ya, wakati wa, tangu, hadi, mpaka
  • Kutambua na kutumia vihusishi katika sentensi na vifungu kuhusu usafi wa mazingira

What you will be able to do

  • kutambua vihusishi vya mahali na vya wakati katika matini
  • kutumia vihusishi vya mahali na vya wakati ipasavyo katika matini
  • kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali na vya wakati

Key questions

“Je, ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?”

“Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?”

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Vihusishi vya mahali
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Tambua na tumia vihusishi vya mahali kama juu ya, chini ya, ndani ya, nje ya, kando ya, kati ya, karibu na na mbali na.
  2. Vihusishi vya wakati
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Tambua na tumia vihusishi vya wakati kama kabla ya, baada ya, wakati wa, tangu, hadi na mpaka, katika sentensi na vifungu.