← Kiswahili / 4 Sarufi
4.15 Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kiswahili · Grade 9 · 2 lessons in the design
What this covers
- Tofauti ya usemi halisi na usemi wa taarifa
- Kanuni za kubadilisha: alama za kunukuu, nafsi, nyakati, vielezi vya wakati na mahali, vionyeshi
- Kubadilisha taarifa kuwa usemi halisi
- Kutunga sentensi sahili za usemi halisi na taarifa kuhusu maadili ya kitaifa
What you will be able to do
- kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na taarifa katika mawasiliano
Key questions
“Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?”
“Unazingatia nini unapoandika usemi halisi?”
“Unazingatia nini unapoandika usemi wa taarifa?”
Lessons
The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.
-
Usemi halisi na usemi wa taarifa: tofauti na kanuni
40 min · 1 practice tasks · quizTofautisha usemi halisi na usemi wa taarifa, na ujadili kanuni za kubadilisha: alama za kunukuu, nafsi, nyakati, vielezi na vionyeshi.
-
Kugeuza usemi halisi na taarifa pande zote mbili
40 min · 1 practice tasks · quizGeuza sentensi kutoka usemi halisi kuwa taarifa na kinyume chake kwa kutumia jedwali la mabadiliko, cheza mchezo wa kadi, na tunga sentensi kuhusu maadili ya kitaifa.