← Fasihi ya Kiswahili / 2 Ushairi

2.10 Utunzi wa mashairi ya arudhi Bunilizi na kazi za kihalisia

Fasihi ya Kiswahili · Grade 11 · 6 lessons in the design

What this covers

  • Maandalizi tangulizi na kuibua mawazo
  • Hatua za utunzi wa mashairi ya arudhi
  • Kuandika nakala ya kwanza
  • Kuhariri shairi
  • Nakala safi na kuchapisha
  • Kutunga na kuwasilisha shairi la arudhi

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Hatua za utunzi wa mashairi ya arudhi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kujadili hatua za utunzi wa mashairi ya arudhi.
  2. Maandalizi tangulizi na kuibua mawazo
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuibua mawazo ya shairi la arudhi: mada, dhamira, maudhui, nafsineni, nafsinenewa, mtindo na muundo.
  3. Kuandika nakala ya kwanza ya shairi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuandika nakala ya kwanza ya shairi la arudhi kwa kutumia mawazo yaliyoibuliwa.
  4. Kuhariri shairi la arudhi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuhariri shairi la arudhi kwa kurekebisha mizani, vina, maana na lugha.
  5. Nakala safi na kuchapisha shairi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuandika nakala safi ya shairi lililohaririwa na kuliwasilisha kwa wenzako.
  6. Kutunga na kuwasilisha shairi la arudhi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kutunga shairi la arudhi kwa hatua zifaazo na kujibu swali dadisi.