← Fasihi ya Kiswahili / 3 Bunilizi na Kazi za Kihalisia

3.10 Utunzi wa fasihi bunilizi na kazi za kihalisia 1 NA

Fasihi ya Kiswahili · Grade 11 · 6 lessons in the design

What this covers

  • Sifa za mwandishi bora
  • Kupata maudhui ya kuandikia
  • Kuandika bunilizi fupi
  • Kuchagua mtu wa wasifu na kukusanya taarifa
  • Kuandika wasifu
  • Kuwasilisha kazi na kutathmini

Lessons

The titles are open to everyone. Reading a lesson needs an account — sign in or create one.

  1. Sifa za mwandishi bora wa bunilizi na kazi za kihalisia
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kueleza sifa za mwandishi bora wa bunilizi na kazi za kihalisia.
  2. Kupata maudhui ya kuandikia bunilizi na kazi za kihalisia
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kufafanua jinsi ya kupata maudhui ya kuandikia bunilizi na kazi za kihalisia.
  3. Kuandika bunilizi fupi
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuandika bunilizi fupi (hadithi fupi, onyesho la tamthilia au sura ya riwaya) kwa hatua zifaazo.
  4. Kuchagua mtu wa wasifu na kukusanya taarifa
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kutambua watu wa kuandikiwa wasifu na kukusanya taarifa zao.
  5. Kuandika wasifu wa mtu
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuandika wasifu wa mtu kwa kuzingatia hatua zifaazo.
  6. Kuwasilisha kazi za uandishi na kutathmini
    40 min · 1 practice tasks · quiz
    Kuwasilisha bunilizi fupi au wasifu, kutathmini na kujibu swali dadisi.